Friday, July 19, 2013

t


Posted via BlogPost

Posted via BlogPost

wema kizimbani

mrembo
anayetamba kwenye filamu za
Kibongo, Wema Isaac Sepetu
‘Beautiful Onyinye’ au Madam jela
inamwita na anatakiwa kufanya
maombi ili kukwepa kifungo
maishani mwake.
Hali hiyo inafuatia staa huyo
kupandishwa kizimbani kwa mara
nyingine tena Jumatano iliyopita,
pale alipopanda katika Mahakama ya
Mwanzo ya Kawe jijini Dar kwa kosa
la kumpiga na kumtukana matusi ya
nguoni meneja wa hoteli moja
iliyopo Kawe Beach jijini Dar,
Godluck Kayumbu.
Posted via BlogPost