Saturday, April 20, 2013

ALICHOSEMA MDHAMINI WA KESIYA DIAMOND! Posted: 7th February 2012 by MillardAyo in News Tags: edo, msanii DIAMOND 3 DIAMOND AUCHUNA KUTOA JIBULA BARUA KALI! Posted: 2nd February 2012 by MillardAyo in News Tags: msanii DIAMOND 9 MSANIII DIAMOND APEWA SIKU21. Posted: 26th January 2012 by MillardAyo in News Tags: msanii DIAMOND 3 DIAMOND akiwa MAHAKAMANIJANA! Posted: 10th January 2012 by MillardAyo in News Tags: msanii DIAMOND 23 POSTS TAGGED ‘MSANII DIAMOND’ Siku kumi na mbili baada ya mwanasheria wamwandishi Francis Godwin anaedai kupigwa namsanii Diamond kutoa siku 21 kwa msanii huyokulipa faini ya milioni 30 kwa mwandishi huyo,mdhamini wa Diamond alikua nae toka mwanzowa tukio Eddo Bashir ambae ni mkazi wa 92.9 Iringa, ameamplfy kwamba mpaka sasa bado yeyena Diamond [...] Wiki moja baada ya kumuandikia barua kali msaniiDIAMOND barua ambayo inamtaka msanii huyokumlipa shilingi milioni 30 mwandishi FransicGodwin wa Iringa kama fidia baada ya kumpiga nakumuharibia vifaa vyake pamoja na kumdhalilisha,mwanasheria wa mwandishi huyo amesema mpaka sasa DIAMOND hajajibu chochote baada yakupokea barua hiyo. Mwanasheria huyo PaulLekamoi amesema [...] Wiki mbili baada ya hukumu ya kesi ya kumpigamwandishi wa habari inayomuhusu mwimbajiDIAMOND PLATNUMS kusomwa, na mwimbaji huyokuamriwa na mahakama ya Iringa kumlipa fainiisiyozidi laki moja mwandishi huyo, leo ishunyingine mpya imeibuka. Ishu yenyewe ni kuhusu mwandishi huyo Francis Godwin wa area 92.9kutoridhika na maamuzi ya mahakama, na sasa [...] Social Connections Facebook

No comments:

Post a Comment