Friday, April 19, 2013

Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwaunlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna changes kidogo. Njia yenyewe ni hii hapa: TAFADHALI SOMA POST YOTE NA UELEWE KABLA HUJAANZA PROCESS NA KUWA MAKINI SANA KWANI UKIKOSEA KIDOGO TU UNAWEZA UWA MODEM YAKO. Download na Extract File nililoambatanisha napost hii. Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimalizausiifungue. Then Chomeka modem yako, weka line ambayohaikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboardna error kuwa huwezi tumia hii simcard click okna exit hiyo dashboard hakikisha unaifungakabisa.Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake Sasa search ile software ulio install QPST nafungua QPST configurationStart Menu > Programs> QPST Then click add new port, ile ulio iiangalia katikadevice manager Uncheck "Show serial and USB/QC DiagnosticPorts only. ili zionekane port zote na uione yakokisha Ichague na click ok. Kama umechagua port sahihi then lazima utonaimeandikwa hivi Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua StartClients then chagua Software Download Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tabkisha click browse kulia kwako na uchaguelocation ambapo itasave backup yako, then clickstart na iache imalize ku backup. Kumbukakuhakikisha imemaliza salama na Backup yako(.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapaawamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanyaifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea . Sasa connect Computer yako Internet kwakutumia simu au modem ambayo sio Huawei,hata kwa njia nyingine kama ipo.Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue naangalia kushoto kwako na chagua COM port yaModem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa “3G PC UI interface” Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modeminformation na itasema OK ikimaliza, kamaitaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet aumodem yako haijaunganishwa vizuri au modeminatumika na sehemu nyingine. Then kisha angalia katika tabs juu na chagua"Select Firmware" Then chagua extract from EXE.Itafunguka window, sasa locate firmwareambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilioambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo Uncheck 05.bin kama hivi Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab"Flash Modem" then chagua "Normal Mode" ,Subiri kidogo then kuna kibox kitatokea just clickOK, Baada ya modem kuingia katika Downloadmode (yani subiri km sekunde 10 hivi ndo U clickOK otherwise Itakupa msg yakuwa ime FAIL). Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwakatika modem yako Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyoni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo thenitakuwa imemaliza, close hiyo Huawei ModemFlasher Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaonahaina uwezo wa kukamata tena network kwasababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore.Kufanya restore Rudia zile step za mwanzo kwakufungua QPST configuration then add com port,Halafu tunaenda software download, lakini badala ya ku click backup tab, click restore tab.Then click browse na chagua backup filetulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha irestore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza. Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa nachomeka modem yako. Kama utakuwa umefuatastep zote kwa umakini modem yako E173itakuwa Permanently Unlocked na unawezatumia mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEIimerudi ile ile kama mwanzo. Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kamautapata shida yoyote ile sema. Note:Njia ni salama kabisa nimesha unlock modemzaidi ya tatu na zinapiga mzigo kama kawaida.Kumbuka kuwa makini kwani unaweza uwamodem yako moja kwa moja.Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself. Attached:

1 comment: