Wednesday, April 24, 2013

XAVI AWAKUBALI BAYER

kiungo nguli wa barcelona xavi hernandez usiku wa jana akizungumza na waandishi wa habari ameonyesha masikitiko yake na kusema yafuatayo

(Bayern munich walikuwa na kasi kuliko sisi na walicheza vyema kuliko sisi jana ulikuwa usiku usiosahaulika kwetu) aliongeza kiungo huyu bora wa kihispania. Jana barcelona ilicharazwa na Bavarians bao nne bila majibu na kuashiria kuwa hii inaweza kuwa safari yao nje ya mashindano hayo makubwa barani ulaya

Record zinaonyesha kwa zaidi ya nusu muongo ni kipigo kikali kabisa kuwahi kuwapata wakatalunya
hao

No comments:

Post a Comment