Tuesday, April 30, 2013

Familia ya bw.& bi HISPANIA wawaskitikia kuwatangazia vifo vya watoto wao wapendw REAL MADRID na BARCA vlvyotokea ktk nch ya ujeruman j'4 na j'5 ucku,mazsh yatafanyka J4 na J5 hii ktk makabur ya bernabeu na camp nou. Salam zwafkie Man Utd, Chelc, Man City, AC Milan, PSG, Arsenal, Juve ndugu jamaa na marafk. Pia taarfa znasema kuwa wa2 waliohusika na vifo hivyo wanatafutwa na polis ambao ni Muller, Ruben, Gomez na jambaz sugu LEWANDOWSK

No comments:

Post a Comment