Esma Abdul ambae ni dada yake
mwimbaji staa wa Tanzania,
Diamond Platnums, amesema
wamejiandaa vizuri kwa ajili ya
harusi ya Diamond ambae
anatarajiwa kumuoa mtangazaji
wa TV aitwae Penny.
Esma ambae anaishi nyumba
moja na kaka yake amesema,
"Tumemkubali sana wifi yetu na
tunampenda kwa sababu mtu
yeyote mimi nitakaetambulishwa
siwezi nikamkataa, manake
nikimuingilia kwenye mapenzi
yake na yeye ataniingilia kwenye
mapenzi yangu."
Location : Kisinane Rd, Moshi,
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment