BREAKING NEWS: M2 THE P NAYE
AFARIKI DUNIA
Taarifa zilizothibitishwa kutoka nchini
Afrika Kusini ni kwamba yule msanii
aliyepelekwa hospitali pamoja na
Mwana Hip Hop, Albert Mangwair
aitwaye M to the P naye amefariki
dunia leo. M to the P alipelekwa
katika hospitali ya St Hellen iliyopo
jijini nchini humo kwa matibabu
baada ya kukutwa amepoteza
fahamu akiwa na Mangwair aliyefariki
dunia jana.
Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment