ripoti kamili
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South
Africa Kutoka Kwa Hussein
Original Ambaye Yupo Pretoria
Amesema Ngwear Amefariki Leo
Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na
msanii M to the P jana south
africa.mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi dar leo lakini
waliwakuta wamezima kwenye room
wote wawili baada ya kuji overdose
madawa ya kulevya na M to the P
yupo hoi hospitali.
waunzi.com
Location : Kisinane Rd, Moshi,
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment