Mwandishi wetu aliyepo Mtwara
ametueleza kuwa hivi sasa baadhi
ya wananchi wa eneo la
magomeni mkoani mtwara
wamekimbilia katika Hospitali ya
Mkoa wa Mtwara Lugula
wakihofia usalama wao kutokana
na vurugu za kuchomwa kwa
nyumba zao pamoja na vibanda
vya biashara zilizotokea leo
asubuhi katika eneo hilo.
Location : Address not available
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment