Msanii wa muziki wa kizazi kipya
aliye chini ya B’Hits Music Group,
Mabeste ameamua kubadilika
kidogo na kuongeza wigo wa
nyimbo anazofanya ambapo sasa
atakuwa akifanya pia kwenye
muziki wa gospel.
Akiongea na Bongo5, Mabeste
amesema ameamua kuimba
gospel kwakuwa ndio muziki
unaogusa mambo ya kijamii na
kuelimisha na rap itabaki kama
biashara.
“Nimefanya kufanya rap a
commercial lakini sasa nina
design nyingine ya muziki
ambayo nataka kuimba ambayo
itakuwa inahusu kijamii as
kuelimisha zaidi kama gospel
ndiyo kitu ambacho sasa hivi
nataka nikifanye na nitarealese
haina hata miezi miwili, ambayo
itakuwa kwenye aina ya gospel.” bongo5
Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment