BREAKING NEEEWS :::
JOTO HASIRAAAAAAAA LAZID KUKOLEA
JOTO
" Staki kusikia nyimbo zote za
marehemu ALBERT
MANGWEAR alizorekodi BONGO REC
zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa"
Muda mfupi uliopita nilipokea simu
kutoka kwa Producer mkongwe hapa
bongo anajulikana kwa jina la P Funk
Majani na kuniomba nipokee msg hii
hapa chini na kuwaomba watanzania
walijue hili na baadae atatoa barua
rasmi.
Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway
No comments:
Post a Comment