Saturday, June 1, 2013

Dunia ina mambo mwanaume amuwekea mkewe padlock



Mume wake aitwaye Sohanial

Chouhan (38) alifikishwa polisi

baada ya kugundua kwamba alikuwa

ana tabia ya kumfunga kufuli mkewe

sehemu hizo kwa muda wa miaka

minne kwa madai kwamba

asingefanya hivyo angekuwa

anatembea nje ya ndoa.

Imegundulika kwamba Chouhan

alianza kumwenyesha mkewe

madawa ya kulevya na kisha

akatumia sindano kutoboa matundu

sehemu zote mbili za mlango wa uke

wa Sitabai kisha akaweka kufuli dogo

ambalo alilifunga kila asubuhi

akienda kazini, na kulifungua wakati

anaporejea.

Location : Address not available
Poudly supported by washari company

No comments:

Post a Comment