Wednesday, June 12, 2013

WATANZANIA WAKARIBISHWA SIKU YA WACHANGIA DAMU DUNIANI, IJUMAA TAREHE 14 JUNI, 2013. 2

anzania kupitia Mpango wa Damu
Salama Tanzania itaungana na nchi
nyengine
Duniani katika sherehe za
Kuwashukuru na kuwatambua
Wachangia Damu Duniani
siku ya Ijumaa ya tarehe 14 Juni, 2013
ambapo kitaifa sherehe hizo
zitafanyika katika viwanja vya Mkendo
Wialyani Musoma, mkoani Mara huku
mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri
mwenye dhamana Katika Wizara ya
Afya na
Ustawi wa Jamii Mh. Dk. Hussein
Mwinyi.
*
*Kwa Mujibu wa Mpango wa Damu
Salama Tanzania, wananchi ambao
wako katika
mikoa mengine nje ya kanda ya ziwa
wanaweza kujumuika na vituo vya
Damu
Salama vilivyo katika kanda zao ili
kuweza kusheherekea na kujitolea
damu
siku hiyo.
*
*Aidha, sehemu zilizoanishwa na
Mpango wa Damu Salama Tanzania
ambapo
sherehe hizo zitafanyika Kimkoa ni
Makao Makuu ya Mpango wa Damu
Salama
Tanzania, Ilala Mchikichini kwa Mkoa
wa Dar es salaam, Viwanja vya
Tangamano kwa Mkoa wa Tanga,
Mkoani Tabora Katika Kituo cha Damu
Salama
Kitete, Viwanja vya Luanda Nzovwe
Jijini Mbeya, Kwa wilaya ya Kilwa
mkoani
Lindi sherehe zitafanyika katika
Bustani ya Mkapa, Morogoro katika
Kituo
cha Damu Salama Rwegosore, na
Mkoani Lindi katika kituo cha Damu
Salama
Ilulu.
*
*Sherehe hizo za Kila mwaka
zinalengo la kuamsha ari pamoja na
kuongeza
uwelewa juu ya mahitaji ya damu na
umuhimu wa kuchangia damu kwa
hiari ili
kuokoa maisha ya watu wanaohitaji
damu duniani ikiwa pamoja na
kuwashukuru
na kuwapongeza wachangia damu
wote duniani.
Kidunia sherehe hizi zitafanyika Jijini
Paris, Ufaransa chini ya Shirika la
Afya Duniani (WHO) ikishirikiana na
Shirikisho la Kimataifa la Msalaba
Mwekundu (IFRC), Shirikisho la
Kimataifa laTaasisi za Kuchangia
Damu
(IFBDO), na Jumuiya ya Kimataifa
Mpango wa Damu Salama (ISBT).
Ujumbe wa
Mwaka huu ni TOA ZAWADI YA
MAISHA. CHANGIA DAMU.
*
*Rafiki wa Damu Salama Tanzania
inawaomba watanzania wote
kujitokeza kwa
wingi siku ya Ijumaa kuweza
kujumuika pamoja katika sherehe hizi
muhimu
ambazo zinagusa moja kwa moja
maisha ya mwanadamu. Mahitaji ya
damu nchini
bado ni makubwa na wahitaji
wamekuwa

No comments:

Post a Comment