Thursday, June 13, 2013

Hizi ndo post mbalimbalu za wasanii mbalimbali kuhusiana na kifo cha langa


Joh Makini
Wiki mbili nyuma tulipanga kufanya
trak kwa Dunga tukaisogeza mbele
kupisha msiba wa Ngwea nakumbuka
mpaka session alipanga alhamis
aliamplz tumalize msiba lkn kumbe
yeye ndio alikua anafata daah! Mara
ya mwisho kuongea ni uliponiambia
nichek beat kwenye email alaf
tuchangie mawazo kutakufuta idea
daaah! Baadae tena ukanitext
umepata idea mbili platinum ideas
tukienda studio tunaua! Sasa
umeondoka ghafla mimi na dunga
tumebaki na beat tu sasa #RIP
LANGA.
THE CITY of PHD
DAAAAAAAH MUNGU TUSAIDIE!!MI
NIMESHAKOSA AMANI KABISA HAPA
NILIPO!!!HAYA NI MAJONZI
MAKUBWA!!REST IN PEACE LANGA!!
GONE TOO SOON!!DAAAAAH
Nick Mweusi
KAMA HIZI HABARI ZA LANGA NI
KWELI SHOW YANGU NA GNAKO
CLUB KAKALA HAiTAfANyIKA. RIP
LANGA
Afande Sele The’King
Tunavyotaka sisi, sivyo anavyotaka
yeye (Mungu) mapenzi yake ni zaidi.
Mungu akupumzishe pema LANGA
KILEO
K Wa MaujanjaSaplayaz
Kapumzike na amani zote hatuta
acha kukukumbuka daima
Mad Ice
Oh lord shed light on these dark
moments of the Tanzanian Music
Industry! Its not even a week since
we buried Ngwea and another one is
down … R.I.P Langa!
Cpwaa
Another Brother, Another Soldier,
Another buddy,another talented
Tanzanian Hip Hop Artist gone!……
bado siamini.. #RIPLanga #
BongoFlavaStayCalmAndUnited
Fina Mango
RIP Langa. Pole sana Mama na Mzee
Kileo Mungu awake nguvu Kwa
wakati huu mgumu
D knob
Rip Langa. Sijui cha kuongea
kiukweli Dah.
Nikki Mbishi
Langa unaenda wapi kichaa wangu?
Mwanao bado nalia na Ngwea halafu
unasepa badala ya kubaki tuanue
matanga.

No comments:

Post a Comment