Thursday, June 13, 2013

Rip broda

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop
Tanzania, pichani) amefariki dunia
leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa
hajitambui. Anadaiwa kuwa
alikumbwa na Malaria kali sana, Hali
iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya
Muhimbili jana.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake
bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na
kikundi cha Wakilisha pamoja na
witness na sara ni miongoni mwa
wasanii wakongwe wa bongo flava
nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.

No comments:

Post a Comment