Thursday, June 13, 2013

Maskini langa

Tasnia ya muziki nchini imepata pigo
lingine. Mwanamuziki Langa Kileo
amefariki dunia. Langa ambaye ni
msanii alieanza kwenye kundi la
wakilisha alikimbizwa hospitali ya
Muhimbili baada ya kuzidiwa na
ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni
malaria. Taarifa ya daktari kuhusu
kifo chake bado haijatolewa.
Tunawapa pole ndugu, jamaa,
marafiki na mashabiki wote wa Langa
katika kipindi hiki kigumu

No comments:

Post a Comment