Saturday, May 4, 2013

BENDI ya Extra Bongo kwa mara nyingine tena imeibomoa The African Stars ‘Twanga Pepeta’ baada ya kumnyakua mnenguaji wake mahiri Aisha Madinda , ambapo mkurugenzi wa Extra Bongo , Ali Choki alimtambulisha Madinda kwa waandishi wa Habari. Choki alisema Madinda amejiunga na Extra kwa matakwa yake mwenyewe , na tayari ameshaanza mazoezi na bendi hiyo wiki mbili

No comments:

Post a Comment