Tuesday, May 28, 2013

Huu ubunifu wa cowobama tutaumiss em mchek hapa kwa CNN


Kesha ka.. kesha kesha

Kesha ka.. kesha kesha (yeah)

Eyo Q, hakuna kitu tunafanya zaidi

ya ku..

Kesha ka.. kesha kesha

yani tuna yaani

Kesha ka .. kesha kesha

haha tuna

Kesha ka .. kesha kesha (yeah)

Bongo Records baby Holler!

Kesha ka .. kesha kesha

kama mifuko ndo imejaa zaidi ya

ATM

then tuko..high zaidi ya KLM

then tuna kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha

Ke kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha X2

Usiniite half-man, niite man and a

half

u think small, and you'll remain

small for life

Hatuwezi piga same instrument

but we can all be in the same

key.. son

Experience makes a person better

or bitter

naeza flow slow but brain inaeenda

speeder

nasamistrain kama pain

inavyoumiza

na gain tu kila mida complain

nazimaliza (what else?)

Naulenga mwezi na Jua hata

nikiukosa nitatua tu juu ya nyota

na mambo yatakuwa shkopa

Boss Fid kasema you need to try, ye

so Police

so please ni Halali sikatai, wala

usimdiss kama MCs hata ukimrithi

baadae

muulize weeds kama fid wa

squeeze na showbiz defined

masnitch wanamdiss fid afu song

yenyewe nishai

hawa see jinsi nnavyo *flow ka Gs

Rewind**

kama mifuko ndo imejaa zaidi ya

ATM

then tuko..high zaidi ya KLM

then tuna kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha

Ke kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha X2

Bastola cash and.. toa code someka

wapi lipo bata wapi leo

kinaeleweka, napesa mingi mpaka

natamani jiteka

then watu wapo king.ston ka

Jamaica

ni ma model, madodo waku roll na

ma Gangasta

Divas and Hustlers, Paper Chasers!

Nani anaeza piga ngoma kali ka

hii???... me!

Nani anaeza gonga beat nzito ka

hii?? ... P!

Yeah you know that ni Bongo

Records true na Q east zoo tu juu

au si skii

Usipime hizi records ,ziko heavy

place nothin above it man, you

gotta love it man!

Leo ni mwendo wa gambe tu na

Malavidavi na warembo wakali

matata ka Flavi.. (what?)

Tunapata zetu couple of rounds

then ..yeah.. we outta of the town!

kama mifuko ndo imejaa zaidi ya

ATM

then tuko..high zaidi ya KLM

then tuna kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha

Ke kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha X2

watu wana dough, yo mpaka soo

na bado daily wanaget more

kwa mishe na kali flows!

watoto wa mama wana blow

dada zao they **cursey curvy**

wataka tuwe wao baby daddys

wapate... ya ki gangsta ki

hardcore!

tukikesha kama CNN

Kwa kukesha na kula bata, tuko so

allergic

kwa watoto wa geti kali, we are so

magnetic

Mapedeshee wanapigwa tu mitama

counter

si tunazidi chafua bedsheets za

mama zao

tunajikinga japo wanamaindi kuzaa

na si

wanathamani ya Diamond na

tunawabeba for free

issue zote unasimamia playboy

anaunderstand

na leo kesho akizingua unatake her

bestfriend

kama mifuko ndo imejaa zaidi ya

ATM

then tuko..high zaidi ya KLM

then tuna kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha

Ke kesha kama CNN

Kesha ka .. kesha kesha X2



Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment