Wednesday, May 8, 2013

Diamond awa sukari ya warembo mpaka UK

EEHH!!! jamani kina dada mbona
mnajidhalilisha kiasi hicho!! ni
pombe ulilewa au kitu gani!?? au
ndio mambo ya NATAKA KULEWA
hayo ukaamua ummwagie radhi
mtoto wa mwenzio kilazima, au
huna habari KAMA MCHUMBA WA
MTU HUYO DADA!!?? mmmh!!
WATOTO WA UK MMETISHA!!!
ALAFU nimesikia kuna mdada
kaenda kulala na dancer wa
DIAMOND akizani ni DIAMOND
MWENYEWE biatchhh!
yereeeuwiiiiiiii!!!!!!
tunaendelea kuifatilia kwa ukaribu
tutawaletea picha kamili sooooon!!!
endelea kurefresh blog yenu
mupate mahabari kamili!!!
LMFAO!!
#OKbyeeeeee
Check Video kwenye hii link:http://
zeddylicious.blogspot.com/2013/05
/diamond-aliwa-denda-kilazima-
jukwaani.html#more

No comments:

Post a Comment