Monday, May 6, 2013

Mchezaji wa chelsea amponda platinum

‘Adam Nditi’ aiponda show
ya Diamond Uingereza,
asema ‘aibu tupu
Mtanzania anayechezea Chelsea
‘Adam Nditi’ aiponda show ya
Diamond Uingereza, asema ‘aibu
tupu’
“Diamond jana manyago aibu tupu
waswahili lazima tubadilike it’s
embarrassing,” ametweet.
“Hajafanya jambo lolote ila shoo
ilikuwa haina very unprofessional
kwenye tangazo walisema inaanza
saa 3 usiku jamaa amefika saa 1
asubuhi.”
“Jukwaa lilikuwa ovyo kama vile watu
hawajalipa kumuuona mmoja Wa
wasani wanaotamba bongo nyimbo
zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa
haimbi.”
Diamond yupo ziarani nchini
Uingereza.o

No comments:

Post a Comment