Monday, May 6, 2013

Hili ndilo alilosema p funk kuhusu body la Jude na clouds

lly at 11:10 PM
Neno la P-Funk Majani
kwa Lady JayDee
Kuhusu Beef na Radio
Clouds ni Hili
Producer mwenye historia kubwa
na ya kipekee katika muziki wa
Bongo Fleva P-Funk Majani
ameonesha kumuunga mkono Lady
JayDee na kwamba anadhani ni
muda sasa wengine wakafuata
nyayo zake, yeye mwenyewe majani
amemhakikishia Jide kuwa yuko
nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii
na watayarishaji wa muziki
wakiungana hakuna
kitakachowazua isipokuwa Mungu.

No comments:

Post a Comment