Tuesday, May 28, 2013

Mabeste kuanza kufanya mziki wa gospel



Msanii wa muziki wa kizazi kipya

aliye chini ya B’Hits Music Group,

Mabeste ameamua kubadilika

kidogo na kuongeza wigo wa

nyimbo anazofanya ambapo sasa

atakuwa akifanya pia kwenye

muziki wa gospel.

Akiongea na Bongo5, Mabeste

amesema ameamua kuimba

gospel kwakuwa ndio muziki

unaogusa mambo ya kijamii na

kuelimisha na rap itabaki kama

biashara.

“Nimefanya kufanya rap a

commercial lakini sasa nina

design nyingine ya muziki

ambayo nataka kuimba ambayo

itakuwa inahusu kijamii as

kuelimisha zaidi kama gospel

ndiyo kitu ambacho sasa hivi

nataka nikifanye na nitarealese

haina hata miezi miwili, ambayo

itakuwa kwenye aina ya gospel.” bongo5 

Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment