Friday, May 3, 2013

CHINA KUJENGA KITUO CHA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO MUHIMBILI

Gavana wa Jimbo la Zhangdong
nchini China bw. Sun Liang
akizungumza na Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Profesa David
Mwakyusa kwenye ukumbi wa
mikutano wa Wizara hiyo. Mgeni
huyo pamoja na ujumbe wake
walifika Wizarani hapo kwa
mazungumzo mafupi juu ya mkakati
wao wa kujitolea kujenga kituo cha
kutibu magonjwa ya moyo na
upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili.

No comments:

Post a Comment