Wednesday, May 29, 2013

M to the p afufuka


Habari kutoka Johannesburg ni

kwamba M to the P yuko hai na

ameanza kuongea taratibu.....oo

oops.....watu walishamuua. Atleast

tunaweza kujua nini kilimtokea

Ngwear....Na pia nadhani M to the P

ashakuwa Star.....



Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment