Wednesday, May 29, 2013

Jide aahirisha show


ameahirisha

onesho (show) yake ya miaka 13

ambayo ilikuwa ifanyike Ijumaa

tarehe 31 na kulisogeza mbele

katika tarehe itakayotajwa baada ya

maziko ya Mangwea.

Jide aliyasema hayo akitokwa na

machozi na mwenye huzuni nyingi

asubuhi ya leo alipohojiwa na East

Africa Radio katika  kipindi cha

SUPER MIX na mtangazaji

"Zembwela."

Location : Address not available

Posted via Blogaway

Location : Lema Rd, Moshi,
Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment