Friday, May 3, 2013

Matokeo ya kidato cha nne kufutwA

Kutokana na hoja za serikali LUKUVI
amesema kuwa NECTA haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi
kwa kufuata STANDARDTIONS na
CONTINOUS ASSESMENTS.
Necta wamekuwa na utaratibu
mwingine ambao haukuhusisha
Wadau wa Elimu Tanzania.
Either Kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(A)
85-65(B)
65-45(C)
45-35(D)
35-0(F)
CHANZO NI BUNGE KUTOKANA NA
2ME YA WAZIRI

No comments:

Post a Comment