Wednesday, May 8, 2013

Diamond amponda q chief

Hii ni  kauli  ya msanii
Diamond kuhusu Q chief: mi
nafanya kazi, mazoezi na dancers,
nahangaika kutafuta sare,
kuandika nyimbo nzuri, wakati
nafanya yote hayo we unakula
unga, halafu unakuja kusema
nasafiria nyota yako, nisafirie
nyota ya mla unga? mi staki,
staki, agombane na wakubwa
wenzake kina dully mi aniache na
wadogo wenzangu staki...?

No comments:

Post a Comment