Saturday, May 4, 2013

Haya ndio maneno ambayo diamond kamuandikia penny kwa birthday yake

amemwandikia maneno matamu.
“Sometimes I wish you could know
how much you mean to me…its a
lot’..fu***n a lot, I can’t even
explain it.. It’s even more than
money… sometimes I don’t even
know how to col u, a wife,
friend,sister,bedmate, partner.. Ooh
God! I don’t know coz you are more
than dat,”
“Siku zote umekuwa mwema,
mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye
mapenzi tele juu yangu…. You
always should keep this in your
mind “I LOVE YOU SO MUCH”…
Happy birthday Darling.”ameandika
Diamond
Kwa maneno haya, hakuna msichana
anayeweza kujizuia kulia kama
akiambiwa na mpenzi wake.
Baada ya kuona ujumbe huo
ulioandikwa na Diamond kwenye
Instagram, Penny amejibu:
“Baby u just made me cry!! Oh God
Naseeb I luv u so much hubby…
wallahi sina hata cha kujibu to make
u understand How I appreciate ur
sweet luv,God has given me so many
things but bringing u in my life is
the best gift I have received…U just
made my day,years,a lifetym…I wont
forget this…thank u hubby.”penny aliongeza.
HAPPY BIRTHDAY PENNY.

No comments:

Post a Comment